Friday, October 28, 2011

"USIENDE KUSEMA" - MC RUPIA amjibu Dogo ASLAY kisanii.........


Msanii chipukizi anayekwenda kwa jina la MC RUPIA ametoa kopi ya NAENDA KUSEMA ya Dogo ASLAY msanii anayetokea Mkubwa na Wanawe/Tmk Family kwa Mkubwa Fella.

MC RUPIA amejibu wimbo wa ASLAY unaoitwa "Naenda kusema", ambapo yeye wimbo wake ameuita "USIENDE KUSEMA"

Song; USIENDE KUSEMA
Artist; MC RUPIA
Studio; NG'Z Rec.


Kuskiza wimbo huu nenda kwenye playlist ya Makavulive hapo juu

DULLAYO kuwasha moto Bagamoyo Intercollege Night 2011 Leo

Dulayo D-timing


Msanii wa muziki wa kizazi kipya Abdulrahman Kasembe a.k.a Dulayo D-Timing anatarajia kuwaongoza wasanii wengine kutoa burudani katika usiku wa wanavyuo ujulikanao kama Bagamoyo Intercolleges Night.Pamoja na Dulayo kutakuwa na wasanii wengine wa muziki wa asili na muziki wa disko utakaoporomoshwa na dj Nature Skills.

Kwa mujibu wa bw. Kim Kimenya ,mkurugenzi wa kampuni ya Kimkev entertainment Dulayo anayetamba na nyimbo ya “twende mchumba” ataburudisha kwenye usiku huo unaotarajiwa kufanyika kesho Ijumaa tarehe 28.10.2011 kuanzia saa 2:00 usiku katika ukumbi wa Taasisi ya Sanaa na utamaduni Bagamoyo (Tasuba),ambapo tiketi za tukio hilo zinapatikana kwenye duka maarufu la nguo za kiume liitwalo Mrimi classic wear liliopo mjini Bagamoyo.

Kimenya alisema kuwa usiku huo ambao unafanyika kwa mara ya kwanza mjini Bagamoyo unatarajia kuhudhuriwa na wanavyuo wasiyopungua 1500 kutoka vyuo vya Bagamoyo na utakuwa usiku wa rangi nyeupe, ambapo watakaopendeza kwa mavazi ya rangi nyeupe watazawadiwa fedha taslimu pamoja na kulala kwa usiku mmoja kwenye hoteli maarufu za mjini Bagamoyo.Sambamba na zawadi za waliopendeza pia kutakuwa na zawadi kwa atakayejibu swali la usiku huo ambaye atajipatia fedha taslimu.

Kimenya amewahakikishia wapenda taaluma na burudani kuwa usiku huu umeandaliwa kwa umakini mkubwa,hivyo wategemee tulizo la mioyo yao kwa kuwa kwenye mikono salama ya waandaji na kupata burudani ya kihistoria katika mji wa Bagamoyo.

Usiku wa Bagamoyo intercolleges night ni usiku wa taaluma na burudani wenye lengo la kuwaunganisha na kuwaburudisha wanavyuo wa mji wa Bagamoyo na nje ya Bagamoyo.Pamoja na burudani wanavyuo watapata nafasi ya kuelezea na kujadili juu ya umuhimu wa kozi wanazojifunza kwa jamii.

Wednesday, October 26, 2011

Album ya DR. DRE iliyosubiriwa kwa muda mrefu kukamilika hivi karibuni...!



Wasanii kutokea pande za West Coast wakiongozwa na Snoop Dogg wamejumuika kutoa collabo na kutengeneza ngoma 4 kwa ajili ya album ya DETOX ya mtu mzima Dr. Dre ambayo ilitangzwa kwa mrefu sana kwamba iko mbioni kuachiwa.

Kwa mara ya kwanza album hio ilitarajiwa kutoka mwaka 2002 ila haikuweza kufanyika na baadae kutolewa ahadi nyingi kuwa iko njiani na kusubiriwa na Fans kama vile Yesu anavyosubiriwa kurudi!

Kendrick LAMAR "New King of the West Coast" 'hivi karibuni ametangaza tena ujio wa album hio. Kwa mujibu wa Lamar album ni kama imekwisha kamilika.
Ukiangalia Video hio hapo juu inawonyesha kina Snoop Dogg, Dj Quick, Dj Battlecat, The D.O.C na wengine wakielekea studio kumalizia huo mzigo.........


Tuesday, October 25, 2011

WAKAZI - Hustle Hard Remix

Another song from Mixtape Ya Ukweli Vol.3 which is coming out in November. This is called African Hustle ( Hustle Hard Remix).
YOUTUBE LINK: http://www.youtube.com/watch?v=_lyYuN2dgSM&feature=feedu

LYRICS:
Chorus:

Same Ol shit, just a different day/

I Hustle to get it, each and every way/

My stomach needs some food, I gotta go to school/

Africans on the grind, Ya’ll know how we do/

Hustle, Hustle, Hustle Hard/

Hustle, Hustle, Hustle Hard/

Hustle, Hustle, Hustle Hard/

We getting money without a Social, or a Greencard/


Verse: 1

Yeah nigga im focus, the only way that I’m supposed ta/

See my attitude is Gangsta but only Blackberry on the Holster/

Africans nigga go hard, peace to that nigga Akon/

In the Daytime or the Nightime we soul surviving these hard times/

Fighting Immigration, and racial Discrimination/

They say Africans worse than Niggas, well, Bitch give me my paycheck/

I gotta pay for the car note, Apartment and the Condo/

Take them kids to Grandma, I aint payin no Child Support/

Spray in their faces, yeah I call it face milk/

I aint give you no head but I’m gon get that face trick/

My car is Automatic, yeah it got no keys/

So you know that I be ridin, and crashin my enemies/ coz…!


Chorus:

Same Ol shit, just a different day/

I Hustle to get it, each and every way/

My stomach needs some food, I gotta go to school/

Africans on the grind, Ya’ll know how we do/

Hustle, Hustle, Hustle Hard/

Hustle, Hustle, Hustle Hard/

Hustle, Hustle, Hustle Hard/

We getting money without a Social, or a Greencard/


Verse: 2

Most my shit is paid for, cause I got the Pesos/

I be running GAME on your chick like Nintendo/

Till she gives that XBOX, Couchie with a Padlock/

She welcome me to THAILAND, I’mo let her BANGKOK/

Money over bitches, Cause these girls be thirsty/

They be aiming at my Riches that’s why I can never trust em/

I trust my Mama and my Sisters, Grandma and my Nieces/

FLORA and LATASHA, JALAH and baby CHRISTIE/

See I, I got to get it, Money by any means/

South Africa to Nigeria, Kenya to Benin/

Specially THE DIASPORA, we “OVERSEEING” the Grind/

Hustling every time with AFRICAN STATE OF MIND/ coz…!


Chorus:

Same Ol shit, just a different day/

I Hustle to get it, each and every way/

My stomach needs some food, I gotta go to school/

Africans on the grind, Ya’ll know how we do/

Hustle, Hustle, Hustle Hard/

Hustle, Hustle, Hustle Hard/

Hustle, Hustle, Hustle Hard/

We getting money without a Social, or a Greencard/

Hustle, Hustle, Hustle Hard/

Hustle, Hustle, Hustle Hard/

Hustle, Hustle, Hustle Hard/

We getting money without a Social, or a Greencard/

Friday, October 21, 2011

SASA UNAWEZA KUJITUPIA TSHIRT YA "MIDA YA KAZI"

Tishet za msanii Dullayo anayetamba na wimbo wake wa MIDA YA KAZI zimetoka na ukiwa kama mshabiki wa Dullayo namba moja unaweza kujipatia tishet hiyo kwa kupiga namba hii +255 685 404078

Dj Choka akiwa ameshajitupia tayari

Casto Dickson hakuwa nyuma kujibebea rangi anayoipend

BoNgOstArLINK!

Afrika tumempoteza Kiongozi SHUPAVU... R.I.P Gaddafi!

Marehemu Kanali Muammar Gaddaf kulia enzi za uhai wake akiwa na kiongozi mwingine shupavu Afrika

Waasi wa Libya na wanajeshi kutoka mataifa mengine mbali na Afrika jana wamemuuwa Gaddaf ktk mji wake huko nchini Libya na kuacha majonzi makubwa kwa raia wa Afrika nzima isipokuwa nchini kwake watu walionekana wakishangilia kupinduliwa na kuuawa kwa kiongozi huyo.

Wednesday, October 19, 2011

DULLAYO, SOPRANO Kupagawisha CLUB LA AZIZ Ijumaa hii....


Mkali wa kibao kipya cha "Mida ya Kazi", Dullayo aka D-Tymin atapagawisha kwa SHOW kali ktk Club lA AZIZ, Dodoma sambamba na SOPRANO "mzee wa simu ya Tochi"

Dullayo mwenye Hits songs kama Naumia Roho, Twende na Mimi, Bila Yule, Mida ya Kazi na nyingine kibao amesema anatarajia kupiga bonge ya Show kwa wakazi na fans wa pande zile za DOM........ Akiwa na Soprano msanii mwenzake wa bongofleva Dullayo amewataka shabiki zake wote kufika kwa wingi ktk Club hio ya kijanja ambapo kiingilio kitakuwa ni Tshs. 7000 tu kwa kila mmoja!

HII SIO YA KUKOSA MJANJA


Friday, October 14, 2011

We wil ALWAYZ Remember You, MWALIMU....!


Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Tunakuombea kwa MUNGU RoHo yako ilale mahali pema peponi......

mIAKA 12 IMEPITA tangu ututoke
Watu wako tunakukumbuka sana na kujaribu kukuhenzi kwa yote uliyotuhusia!

NCHI uliyoiacha kila siku afathari ya jana,
Inanuka mara 10,000 vile uliiacha
VIONGOZI WAKO HAMNA HATA MMOJA ANAYEFUATA MAADILI YAKO

Pumzika kwa Amani BABA & Mungu Akurehemu!!
Amin.

Ai Wei Wei, msanii mkali zaidi duniani...!



Msanii wa CHINA Ai Wei Wei pichani ametangazwa na ArtReview Power 100 kuwa ndie msanii bora zaidi na
mkubwa

kuliko wote hapa dunia kwa mwaka huu wa 2011. Ai Wei wei mwaka jana alishika nafasi ya 13 ktk wasanii bora wa ART WORK,

Ai Wei Wei amepatwa na neema hio huku akitokea ktk LUPANGO alipokuwa akishikiriwa tangu mwezi June kwa muda wa siku 81 akiwa na msala wa "kuhujumu uchumi"


Monday, October 10, 2011

New Freestyle; MSIBA - Wakazi (OTIS)



LYRICS:

I’m having an “out of body” experience/

Like Committing murder and being the Eye witness/

The Prime Suspect, so if its proven that I guilty/

It’s Capital punishment by Losing these five senses/

I’m about to “lose my mind” kama nina kichwa kibovu/

Ki MADOIDO hamuniwezi coz my SWAGGA is so BOVU/

Lyrically “YOU CAN’T SEE ME” I’m sorta like “Blind Fury”/

No snitching, even by lying to the Grand Jury/

Live and Direct CHICAGO to STAKISHARI/

To Memphis Tennessee Dully amepika Futari/

Ingawa, mimi ni MKRISTO ki IMANI/

But My girlfriend had me FASTING kwenye mwezi wa RAMADHANI/

So niki “SLIM” sio kama MODELS wanavyo KONDA/

Ni KUBADILI DINI but not now yo hold up/

I’m on a different mission now, cant stop wont stop/

Ready for submission? No I conquer and conquer/

It doesn’t matter what type of PEN, MAN …… SHIT/

I Murder this INK, BETWEEN LINES with PENMANSHIP/

Curse at will, I need Parental Control and Censorship/

I got a “SUPER EGO” like NIGERIA in the Championship/

They say Africans are always Late for Everything/

So don’t be surprised I’m the Last to spit on this OTIS beat/

I would KILL THE BEAT and use the LYRICS as a MURDER WEAPON/

But its been Done, So I Go LAZARUS …….. RESSURECT IT/

Mtaani najulikana kwa jina jipya/

Kila ninapopita wananiita “Bwana wa Vita”/

Na hiyo ni bila hata bunduki kushika/

Coz I always had BEEf, so DAMU imemwagika/

Back to the other side kabla sijauweka/

The streets been calling ya’ll niggaz better Wake Up/

While Your Girl YAWNING and applying all the MAKE UPS/

Mine is a NATURAL BEAUTY, even when SHE WAKES UP/

Halftime I aint plotting for a wining scheme/

Crunchtime Stressing? No I’m playing for the Winning Team/

Ya’ll 6 foot 7 Playing in the Minor League/

I’m 7 foot 3 big baller like Hasheem Thabeet/

Dead man Talking, so unrealistic/

Murder speak for itself I aint gotta say that I killed it/

I’m from the HEART of AFRICA but my Flow is ICE COLD/

I’m the NICEST nigga, so don’t tell me I got a NICE FLOW/

Big Money kama MIKE MZIRAY/

Mess with “MODEL CHICKS ONLY” kama RICHARD MZIRAY/

NEW YORK imehamia BONGO kama Andru Mahiga/

Sijui Mtajifichia wapi wenye Swagga za Kuiga/

Mimi “NAWASHA MOTO” kama KUNI na MAFIGA/

And nigga Forget OTIS, HUU NI MSIBA/

Maisha ni KIINI MACHO yaani kama MAZINGAOMBWE/

UTALIA ukiwa MAYAI yaani kama "JICHO LA NG’OMBE”/

By wakaziTV| 1 video


KUSKIZA NA KUDOWNLOAD, CHECK KWENYE PLAYLIST YA MAKAVU HAPO JUU

Thursday, October 6, 2011

Afeni Shakur kuwashitaki watakao uza mkanda wa Ngono wa TUPAC.....

Thumb
Familia ya Tupac Shakur ikiongozwa na mama yake mzaz Afeni Shakur imesema itamshitaki yeyote atakaye jaribu kuuza Mkanda wa ngono ambamo Tupac anaonekana'

Afeni Shakur anatambua kuwepo kwa tape hio na tayari amejipanga na timu yake ya kisheria kuchukua hatua kwa yeyote atakaye jihusisha na swala hilo......

source; TMZ

Tupac's been dead and gone 15 years, but when a sex tape of the late rapper surfaced, it made headline news. Now that the bidding wars are underway for the sale of this provocative footage of Tupac, his family is ready to sue.

This 1991 sex tape of will "never see the light of day," says the family of the late rapper. They will not hesitate to sue anyone trying to sell such a tape. A family representative stated that only the family has the right to authorize using the rapper's image on anything offered commercially and this is just not going to happen.

According to TMZ today, Afeni Shakur, Tupac's mother is aware of the sex tape and has sent word to have their legal team ready to go into action to stop any attempts of its release for public viewing.

While Tupac is dead and gone, it is not about him anymore, it is about the people who are alive today that loved him, namely his mother. She's been through enough with the tragic death of her son and now to contend with this, any mother would understand her plight to put a stop to the sex tape's release.

While it is still not known who owns this tape, the estate is trying to figure out who is doing the marketing by attempting to find the other people in the tape, including the woman who was giving oral sex to Tupac through the entire footage.



AUTO FEST 2011 - CAR SHOW (www.G5click.com)

Tuesday, October 4, 2011

GWAII TO APPEAR IN THE HOLLWOOD BLOCKBUSTER "REAL STEEL"

I am sure by now, the name Gwaii or Gwaii Thyword, is not that new to your ears, your hearts or your conscious. A multi talented Individual who discovered at a very young age that, Art is not just a way of life, but also, a way of changing life towards the positive side of thinking and of course living. An Actor, Singer, Musician, Philosopher, Public speaker, Model, Performer, you name it, Gwaii (born Ulimboka Mwanjabala) has done it all, and is still doing it to the fullest.

He has dubbed his music as “Hip Hope”, which if a fusion of various genres of modern and contemporary forms of music like Hip Hop, R&B, reggae, Soul, Zouk, Dance and Afro-beat. Gwaii, A Tanzanian native is a proven performer, an element that places him among a chosen few who are considered full artists since they very well match their in-studio Delivery, with their live stage performance, with their charisma, Talent, Dedication, Devotion and Focus so to speak. He has appeared in numerous shows in Colleges, Universities, Cultural diversity Events, and various African Festivals individually, with live bands and sometimes with fellow artists (Albino Fulani, Kodak, Wakazi, Chibo, etc)

Please go watch REAL STEEL when it comes out on Friday and support our own. He represents the Tanzanian flag, and East Africa in general, the only way to appreciate his efforts is to acknowledge his work and support him.

Concurrently, Gwaii has an EP out as well, called “GWAII THYMUZIK” which is available on iTunes, CD Baby and on his website (www.gwaiithyword.com). He is finishing Up on his first album that will be released very soon and has a new single called “MAISHA”, that is also available in the same websites aforementioned. His First official video "KAZAA KAMUA" is in post productiion and will soon be viewable in your favorite channels and online.

Gwaii In a Short Film Called “Divine Macchiato” shot in Detroit : http://www.youtube.com/watch?v=wm6OCC29Q-8

Gwaii can be seen in this Featurette (2:10) : http://www.youtube.com/watch?v=AeG5q5q3sV8

The Official Trailer of REAL STEEL : http://www.youtube.com/watch?v=3S8a180uYBM&feature=relmfu


You Can buy Gwaii's single "Maisha" from CDbaby http://www.cdbaby.com/cd/gwaii2


For more Information about Gwaii and his work, you can go to:

www.gwaiithyword.com

www.facebook.com/gwaii

WAKAZI - I WANT IT

BongoflevaLink sasa kuitwa BongoFlavaMusic (BFM)


Tunaomba msamaa kwa wadau na wapenzi wa blog hii kwa siku hizi mbili kwa kutokutuelewa katika blog yetu.Ni kutokana na mabadiliko ya blog na jina pia.Kwa sasa blog hiyo itakuwa inaitwa BONGO FLAVA MUSIC kutoka jina la BONGO FLAVA LINK hadi jina jipya, Ila link itabaki vilevile. http://bongoflavalink.blogspot.com/ Ukiwa na habari,Tangazo au nyimbo mpya tuma kupitia mail hii: salimmore@yahoo.com ua wasiliana nami kuhusu matangoza: +255 712 222244
Ahsante kwa ushilikiano wako nami.