World News

Thursday, January 5, 2012

DULLAYO KUPAGAWISHA CLUB MASAI KINONDONI LEO...


Jembe D-Timing aka Dullayo msanii mkali wa BongoFleva atapiga show kali hii leo ktk Club ya Kisasa ya MASAI iliyopo Kinondoni jijini DSM.

Dullayo anaendeleza show zake za ukaribisha mwaka mpya wa 2012 ambapo juzi kati alipiga bonge la show pande za Tukuyu!!

Mkali wa 'Mida ya Kazi', Twende na mimi, NAUMIA ROHO na Bila Yule ameahidi kukonga nyoyo mza fans wake na wapenda burudani wote watakaotimba pande zile za Club Masai

Pia baada ya show hiyo kutakuwa na disko kali kutoka kwa DJ'z wakali kwa kiingilio cha Buku 5 tu!!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...