World News

Friday, January 6, 2012

TASH kuwasimamisha Wamasai tena!!!


Allen TASH ni msanii ambae ameanza mziki kitambo kidogo licha ya mafanikio ya kuanza kuonekana mwanzoni mwa mwezi wa kumi mara baada ya project ya shaurin music, ingawa haikumuweka alipotaka kuwa ila ilimpa chance ya kuweza kuwa karibu sana na muandaaji wa mziki tanzania ambae anachipukia kwa kasi messen selector producer wa d fatalitty na kuweza kuanza kuamua kufanya mziki kama kazi kwa kuwa mwanzoni alikuwa analazimika kufanya mziki wa free styl kwa kuwa ndo kipaji kikubwa alichonacho na ndicho kilichoweza kumtambulisha kwenye tasnia ya mziki! kutoka A town citty ni muwakilishi mzuri sana wa free styl ukilinganisha na wasanii wengi wanotokea A town kutokuweza free styl kwa kiwango anachofanya. vitu viwili vinavyompa hamasa ya kufanya mziki!

1. ni kuja kukomaa kuwa muwakilishi mzuri wa a town ambae amesoma ili aisaidie jamii na mu ngu akipenda mwakani anaingia chuo,

2. kutumia mziki wake kuinua wamasai kwa kuwa abel motika mjomba wake wa damu alen tash kutangulia mbele za haki ivyo yeye anaamini ndio nguzo pekee iliyobaki kwa wamasai.

BAGHDAD

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...