World News

Friday, January 6, 2012

OHH MAMA!! - Baghdad & Climax

Climax, Tannah & Bagdad

Baada ya miaka 6 kupita tangu stay harm milanz a.k.a Climax aanze kufanya mziki usio rasmi hakuwahi kufikiria atakuja kuwa msanii kamaa alivyo sasa!

ila safari yake ya mziki ilianza mara baada ya kuona mafanikio kutokana na ngoma yake aliyofanya na p.m the baba mr aghbadance (chibwa man) iliyofahamika kama sura za mapene, na kwa kuwa hawa wasanii wawili walikuwa ni bithaa kutoka kwenye kundi linalofahamika kama mexicana lacavela likawekeza jitihada kubwa za kufanya nyimbo kwenye studio za de fatalitty ilioko chin ya messen selector ngoma yao ya kwanza iliyowatambulisha kwenye tasnia ya mziki inayoitwa kamba to kamba iliyotoka rasmi mwanzoni mwa mwaka 2011!

hapaa katikati ilitokea miss understanding kati ya hwa watu watatu climax bibo, baghdad, na messen na ndio sababu kubwa iliyowapelekea kukaa chini na kufanya ngoma kwa pamoja kwa sababu wanaamini wana umri mdogo sana ukilinganishha na wanayoyafanya, pia wana safari ndefu kwa kuwa walikotoka ni mbali na wanakokwenda ni mbali !

messen selector! baghdad! na climax bibo! ni marafiki wa zamani! maadui wa muda mfupi! ila sasa ni ndugu wa milele kuanzia kazi na maisha binafsi! mwenyezi mungu ibariki mexicana lacavela! mwenyezi mungu ibariki de fatality!
mwenyezi mungu ibariki ngoma ya Ohh Mama!
Amein.

Download na Kuskiza ngoma ktk Playlist ya MAKAVULIVE

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...