World News

Monday, January 16, 2012

TRIBUTES TO THE LATE MO CHELLA, FREESTYLE KILLER

the late Mo CHELLA

Hello Wadau,

Kufuatia msiba uliotupata wadau wa HIP HOP Mwanza, kwa kuondokewa na
aliekua Rapper na Free-styler mzuri to the extent alikua mshindi wa
Pili katika STR8 MUZIK FREESTYLES COMPETITON 2011, FRANK BUCHELA a.k.a
MO CHELLA aliekua aki-represent kundi la "SWAGGA-MAKERS" baadhi ya
watu tumefanya Tacks kwa ajili ya kumuenzi sababu tulikua nae pamoja
sana katika kuhakikisha HIP HOP inaendelea kua na heshima yake.

Track ya kwanza ni yangu nimemshirikisha Mwana- Swagga-Maker YANOO
katika verse ya 3, DR. EDDO toka Zoo Records aliefanya Beat na kuimba
Chorus, Wakati T-NOCK ame-harmonise track yote na BARAKA alimpokea
kidogo YANOO ktk verse ya 3.
Vocals na mixing ni kazi ya DEE CLASSIC toka YUNG DON RECORDS...

Bofya ktk Playlist ya Makavulive kuskiza track hapo juu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...