World News

Wednesday, February 29, 2012

J-LO awategA ma-x wake na kivazi cha utAta TuzO za OscaRWkend iliyopita ndiko kulifanyika tuzo za oscar huko marekani na mastaa kibao walionekana wakiingia ndani ya kitu cha red carpet na style mbalimbali,ilimradi kila mtu atoke unique na amependeza,kama ijulikanavyo kuwa OSCAR ni moja ya tuzo kubwa sana na zenye heshima ya pekee huko marekani...Diddy alionekana akiingia na suti matata ambapo nae aliibuka na tuzo kwa mara ya kwanza.J-LO Aliingia na kivazi cha utata ambacho kinafananishwa na nguo ya kulala kilichoacha chuchu zake nje..Watu kadhaa walikaririwa wakisema kwamba JLO Amefanya makusudi kuteka akili ya waume zake wa zamani Diddy na Ben Afleck ambao nao walikua kwenye tuzo hizo,ambapo Diddy alionekana akipiga simu nyingi kwa JLO bila kupokelewa...Ndipo leo mwanadada huyo alitokea kwenye vyombo vya habari akimwomba msamaha.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...