World News

Friday, March 2, 2012

wiz khAlifa amvika petE YA UCHUMBa amber rOSE


Japo wengi wanasema ni uamuzi mzito na wengi hawakutegemea kati ya wawili hawa, kutokana na habari kuzagaa kila siku magazetini kumkashifu mwanadada modal Amber Rose,kwamba amefata pesa kwa Wiz Khalifa na kuwa ana umri mdogo kuliko mpenzi wakeAmber Rose...Lakini Wiz khalifa usiku wa kuamkia leo alifanya maamuzi ya kishujaa na kuwashangaza wengi,kwa kukiweka pete chombo chake ambacho alimpora Kanye west baada ya kuhit na singo yake ya ''Blach and yellow''..tusubirie ndoa,hongera sana and we wish you all the best Wiiiz

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...