World News

Monday, February 27, 2012

JAyZ afunguka kuporomoka nafasi MTV HOttest mc wa mwaka


jayZ,seAn cArtEr,hOve,jiGGer,illuMiNati afunguka sababu za kutokuwepo kwenye top-three za mcz wakali wa MTV....Akiongea na radio moja maarufu nchini marekani,aliezea kuwa  sababu kuu ya kudondoka ikilinganishwa na mwaka jana ambapo alikamata namba tatu ni kutokana na kubanwa zaidi na majukumu ya kifamilia yaliyomfanya kuwa na muda mfupi kwenye mziki ikilinganishwa na mwaka jana.Ambapo kwa mwaka huu nafasi hiyo ya tatu imekamatwa na patna wake walieshirikiana kupika albam ya the throne...kwa mwaka huu chati hadi top ten imeenda kama ifuatavyo
1.RIck ross
2.Drake
3.Kanye west
4.Nick minaj
5.Lil wayne
6.Jay-z
7.Meek mill
8.Big sean
                                                                 9.Wiz khalifa
                                                                10.Wale

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...