World News

Tuesday, February 28, 2012

fiDDy/50 cent atuA AFRica kusaiDia waHANGA WA NJaa


Msanii 50cent ambae anatambulika kwa jina jipya la FIDDY amefanya ziara Somalia na baadhi ya maeneo huko Kenya kwa lengo la kusaidia wahanga wa njaa na mafuriko,maeneo hayo yamekumbwa na majanga hayo katika kipindi cha miezi sita iliyopita na majanga haya yanasadikika kuathiri watu zaidi ya laki moja(100,000)...Hili ni jambo la msingi sana,hata kama tunapata kila kitu ila ni muhimu kuwakumbuka ndugu zetu wasiokuwa na kitu..saaaafi sana fiidDdy

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...