World News

Tuesday, March 13, 2012

DULLAYO AAMUA KUOA!!

Mkali wa vibao kama 'Mida ya kazi', Twende na mimi, Naumia Roho, Bila Yule na nyinginezo.... Dullayo aka D Timing ameachia nyimbo mpya inayoitwa "NIMEAMUA" ikiwa ktk style za Bongo-Kwaito

Ngoma hiyo tayari ameshaanza kuisambaza ktk vituo mbalimbali vya redio, pia inapatikana ktk Playlist ya MAKAVULIVE. 

Sambamba na ngoma hiyo Dullayo ambayo yupo ktk Combine ya Makavu anasema kiukweli this tym ameamua kuoa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...