World News

Tuesday, March 13, 2012

XDIZO achomoka MAKAVULIVE!!

XDIZO amechomoka ameitosa rasmi kutoka ktk crew ya kitaani MAKAVULIVE na kuform crew nyingine na Producer Mesen Selekta ambaye awali alikuwa na mkali mwingine BAGDAD na crew ya MEXICANA LACAVELA

hii ndo crew mpya mjini ambayo inakuja ku rock apa mjini TARGET NATION ni kundi linaloundwa na X DIZZO,YARD NA MWAJO ambalo liko chini ya prodyuza mkali nchini tanzania MESEN SELEKTA na liko mbioni kuachia wimbo mpya unaokwenda kwa jina "Anaendana na mimi"

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...