World News

Friday, April 20, 2012

Benja aanzisha Music Label, kumtoa Climax wa Mexicana na "Mambo Safi"..!

Benja
Napenda kuwajuza kuwa nimeanzisha Music Lebel inaitwa BML and nawatoa baadhi ya Artist kama huyu anaitwa Climax Bibo toka kundi la Mexicana na huu wimbo 'Mambo safi' umerekodiwa na kuwa produced na mimi mwenyewe na nimeimba choruss please naomba surport yenu wadau!
Regurds,
Benjamin wa mambo jambo.

Climax kushoto akiwa na Bagdad mchizi aliyekuwa nae Mexicana Lacavela, kati ni Tannah
Nyimbo inaitwa; Mambo Safi, imefanywa na Climax Bibo akimshirikisha Benja wa Mambo Jambo. Unaweza kuiskiza ktk Playlist ya Makavulive pia.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...