World News

Monday, April 23, 2012

JUA CALI anamzimia sana NATURE'

MSANII kutoka nchini Kwenya Jua Cali amefunguka na kusema katika wasanii wa nchini hapa kipaji cha Juma Kassim ndicho anachokizimia

Akizungumza hivi Karibuni Jijini Dar es Salaam Jua Cali alisema mmoja wa wasanii nchini wanae mvutia ni msanii nguli wa Temeke Juma Kassimu 'Sir Nature'.

“Ua nazimia sana sanaa ya Juma Nature kwa sababu baadhi ya nyimbo zake zinawagusa sana watu wa maisha ya chini na amekuwa na mashabiki wengi  Bongo. Na mimi nakubalika sana Kenya kwa sababu hiyo hiyo,”alisema.

Jua Cali alisema bado hajafunga ndoa na wala hana mtoto. Alisema anaye
mchumba na wanatarajia kufunga ndoa hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...