World News

Monday, April 23, 2012

VIDEO MPYA YA "UKO WAPI" - MON G ft. DULLAYO IMEKAMILIKA....!


Kile KICHUPA cha ngoma ya 'UKO WAPI'  ya Mon G akimshirikisha Dullayo tayari kimekamilika na mipango ya usambazaji ktk TVs na ya kuwafikia wadau wote ulimwenguni inaendelea kwa kasi. Video imetengenezwa na Ma-producer wakali ambao ni Bw. Gideon akishirikiana na Director John wote kutoka jijini DSM.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...