World News

Monday, April 2, 2012

Diamond, Queen Darleen DUGU Moja!

Queen Darleen amsapoti ndugu yake Diamond ktk show yake ya 'Diamond are forever'

Diamond, mama yao na Queen darling kulia

Msanii wa Kike wa Bongofleva Queen Darleen ana u-ndugu wa karibu na msanii Diamond Platinum, Queen Darling anatamba na kibao chake cha 'Maneno maneno' na pia yupo ktk nominations za Kili Music Awards 2011.... kabla ya ngoma hiyo muda mrefu nyuma alifanya nyimbo inaitwa 'Wajua' akimshirikisha Ali Kiba

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...