World News

Tuesday, April 24, 2012

Junior Nakoz from Ololoo Area!

Junior Nakoz the Street Dogz from Ololoo area pande za Ara Moko hiphop city North Tzee!!
Kundi linaundwa na Mc;s watatu akiwemo "Yung G",LP", na "Junior",
Hizi ni release ambazo ziko hewani officially,na round hii mpango mzima ni audio release kadhaa huku mchakato wa video unaendelea!
Tuko Pande za DSM kibiashara,watu wetu wa karibu big up sana kwa support 

Bofya Playlist hapo juu kuskiza mzigo!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...