World News

Monday, April 23, 2012

Kwaito Jipya kutoka ChugaTown 'Batoo'


Pata kuskiliza kwaito jipya la Rudbwoi Batoo toka pande za Chugatown,ikiwa ni noizmekah.com exclusive kwaajili ya party goers wote Tanzania,hii pia ni kwa hisani ya JamDropa Deejays,Dj Mido & Deejay P..Projects zetu kama kawaida zinaendelea,nikiwa kama event organiser ningependa kutoa bigup kwa Hiphop City a.k.a ChugaTown kwa kusupport wasanii wao kila 2napoandaa jamsession pande zetu!!!Hii kwaito ni project ya kwanza katika JamDropa Riddim Vol 1,ambayo inasimamwa kwa ukaribu zaidi na "Batoo Entertainment" ,Artist yeyote atayefeel kurecord kwenye this beat awasiliane nasi kupitia page yetu ya "Batoo entertainment" katika facebook kisha 2tamtumia beat kwaajil ya kurecord!!Much respect kwa media zote including websites & Blogs,Jaaaaaah blesssss!!!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...