World News

Wednesday, April 4, 2012

MAKAVULIVE KUTOKA UPYA NA MAJANI...!

P Funk Majani akiwa mzigoni

Crew ya 'MakavuLive' iko mbioni kutoka upya na ngoma kali zinazotarajia kuleta mapinduzi ktk tasnia ya Bongofleva nchini zikiwa zimepikwa na Producer mkali Bongo aliyefanya mambo makubwa sana ktk Bongofleva... namzungumzia P Funk Majani chini ya studio yake ya Bongo Records

Tayari wana washamaliza mzigo studioni, wakiongozwa na 'Dullayo', 'Joslin', pamoja na 'Mon G' nyimbo bado haijawa rasmi na jina litatambulishwa muda mfupi kabla ya ngoma kuachiwa ila nawahakikishia wadau kuwa mtaskia vitu vizuri soon!

Kwasasa Familia hii ya Makavulive itawakilishwa zaidi na Dullayo, Mon G, Eazy-Man, na Joslin ambapo kabla ya mwaka 2012 kumalizika tayari tutakuwa tumekamilisha ALBUM ya kwanza na kuitambulisha kwa fans wetu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...