World News

Thursday, May 3, 2012

Dr. Dre kushiriki filamu ya 'Thaw'MUIGIZAJI na nyota wa singo ya 'Kush the man himself' rafiki wa karibu na Tupac  yuko mbioni kuanza  kufanya filamu iliyopewa jina la “Thaw”.

Filamu  itaandikwa na  Vick Weet, Kutoka Variety habari zinasema Andre Romelle Young ama Dkt. Dre ataifanya filamu hiyo na rafiki yake Daniel Schnider ambae ndo ameleta wazo hilo.

Filamu itahusisha mashetani ambayo yatakua yanatokea kwenye barafu, Dr. Dre sio mgeni Hollywood, Dkt. Dre.  ni mwanzilishi na mmiliki wa sasa Aftermath Entertainment na mmiliki mshiriki wa msanii wa zamani
wa studio ya Death Row Records, na pia mtayarisha albamu kadhaa kwa ajili yake na wasanii wengine kadhaa wa rekodi hiyo kama vile Snoop Dogg na Eminem.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...