World News

Thursday, June 21, 2012

Baghdad atishiwa Maisha!

mnamo tarehe 18 mwezi wa 6 msanii wa mziki aliekuwa nyumbabi kwa meneja wake maeneo ya mabibo wakipiga maehesab8u ya walichokikusanya kwa usiku wa jana baada ya kuandaa usiku wao pale maisha club jana yake akiwa na wasanii kama mabeste, nurdin,, fidodido, chidi benz na wenginewe msanii huyo alipokea simu kutoka kituo cha habari kiki muhoji kuhusiana na tamasha walilolifanya tar 9 mwezi jun mwaka huu mji kasoro bahari, alieanza kumpigia ni mtangazaji wa signeb almaarufu kama u heard na kumuhoji baghdad na baada ya mahojiano yaliyokuwa yakielezea maisha yaliyotokea morogoro baada ya show wasanii walioy=tajwa kupata shida walimpigia simu baghdad na kuanza kumtukana huku wengine wakimtishia maisha yake, wa kwanza alikuwa ni messen selector akimtukana saana matusi ya nguoni, wa pili alikuwa ni msanii wa mesen tash, na wa tatu alikuwa suma mnazaret ambae alikiri kwa mdomo wake ya kuwa kama hatomteka baghdad mwaka huu baasi mama yake mzazi atafufuka, na alisema atatoroka nchi kwa sababu ya tukiio atakalonifanyia! haya matukio yote yalitoea mara tu baada ya baghdad kuojiwa na kituo kikubwa cha radio hapa mjini.mpaka sasa baghdad kshachukua rb yake iko mkononi na kwa sasa kinachoendelea ni kusubiri masaa 48 kuanzia sasa walalamikiwa kufika kituo cha polisi ili kesi kupelekwa mahakamani mara baada ya washitakiwa hao kutiwa mbaroni!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...