World News

Tuesday, June 12, 2012

New Single from Kigali by M-ONE - "MARIA"

Big Town Records, inatambulisha nyimbo mpya ya M-One inayo itwa Maria, ambayo imefanya chini ya producer DJB wa studios za BigTown  records Kigali Rwanda,ni nyimbo yenye miondoko ya dancehall, iliyo imbwa kwa lugha ya Kinyarwanda na Patwa.

 M-One ni msanii member signee wa bigtown record ya kigali na ana uwezo mkubwa wa kuimba dancehall kwa lugha tofauti kama vile English, Kiswahili, Kinyarwanda, Luganda and Patwa.
       
  Tumewatumia hii nyimbo ya M-One ili kusudi sote pamoja tuweze ku promote gud music. Nadhani mtafurahia sana nyimbo hii.

na kwalolote lile mnaweza kuwasiliana nasi kwa number zifuatazo
 +250788781609

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...