World News

Wednesday, June 13, 2012

SOLO THANG afichua COPY & PASTE ya MWANA-FA, ni AMEEN VS HEY ya mjamaica CECILE

Ameandika Solo Thang ktk Blog yake ya 'I AM TRAVELLAH"

Hebu Tuiskilize kwanza hii ngoma AMEEN y MWANA FA ft AY/Dully SYKES sina uhakika BEAT imetengenezwa  na nani!!Ila katika upekuzi wangu kama mdau na mpenzi wa muziki  pia nikakutana na nyimbo hii ya mwana dada anaitwa CECILE ina inaitwa HEY akimshirikisha AGENT SASCO ISIKILIZE hapa chini

 Kama utaskiliza vyema BEAT  na CHORUS zinafanana sana Ukweli kuhusu hili atakua anaujua vyema MWANA FA na prodyucer aliorekodi pamoja na studio husika ...JE ni SAMPLING tu ama COPY & PASTE ?

Maswali naomba yaelekweze kwa Mwana FA,,,,,huu ni MTAZAMO tu!


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...