World News

Thursday, June 14, 2012

SAUDA MWILIMA AJIFUNGUA, MTOTO AFARIKI

Presenter mahiri wa kituo cha Star Tv hasa kipindi cha Muziki wa Kizazi kipya 'BONGO BEATZ" Dada SAUDA MWILIMA alijifungua mtoto wa Kiume juzi kuamkia jana ktk hospitali ya Kinondoni kwa Doctor Mvungi, lakini kwa bahati mbaya mtoto wake alifariki dunia

Taarifa za Mtoa habari wa Makavulive zinasema Sauda bado yupo hospitali na afya yake inaendelea vizuri kabisa.

Blogu ya MAKAVU inakupa pole sana Sauda Mwilima na familia yako, kwani kazi ya Mungu haina makosa.

MUNGU AKUPE NGUVU, URUDI KTK AFYA YAKO NJEMA, INSHALLAH!!!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...