World News

Thursday, July 5, 2012

Baada ya kutolewa Tusker Project Fame 5, DAMIAN aachia nyimbo yake mpya "TARATIBU"

 Mshiriki wa TPF5 akiwakilisha Tanzania Damian Mihayo ameachia ngoma yake mpya inakwenda kwa jina la TARATIBU ikiwa ni siku chache toka alipoondolewa ktk lile shindano la Tusker project fame linaloendelea huko Kenya. Damian alikuwa mshiriki pekee aliyebaki kuiwakilisha Bongo kabla ya kutolewa mwishoni mwa mwezi June.

Alipotolewa TPF Damian alisema “I am happy, I will not stop singing”, let support tha guy Safari yake ya muziki ndio imeanza sasa.

Sikiliza nyimbo yake ktk Playlist ya Makavu hapo juu


Damian Mihayo kulia akiwa na mshiriki mwenzie Fatuma kutoka Rwanda, wote walitolewa siku moja. Katikati ni mwalimu wao wa dance Edu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...