World News

Tuesday, July 10, 2012

New tracks Kutoka emotion records; DULLAYO - HAWALALI na JIPANGE ya SALU B & MON-G

Salu B & Mon G

Kutoka Emotion Records, Producer KISAKA ametengeneza nyimbo mbili na tayari wasanii wenye nyimbo hizo wameziachia kwa ajili ya kuzingangaza na kuzisambaza ktk vituo mbalimbali vya redio East Africa na duniani kwa ujumla

Nyimba hizo ni pamoja na JIPANGE ya Mon G & SALU B, na nyingine ni HAWALALI ya DULLAYO
 
Dullayo aka D-Timing
Dullayo anaachia nyimbo hii ikiwa ni baada ya NIMEAMUA aliyoiachia miezi michache iliyopita na inaendelea kufanya vizuri ktk vituo mbalimbali vya muziki

Skiza na ku-download nyimbo hizo mpya ktk Playlish ya Makavulive hapo juu!!
One love

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...