World News

Wednesday, July 11, 2012

VUNJA JUNGU @ VILLA PARK MWANZA

Villa park inakuletea Vunja jungu na likizo time, ni tamasha la aina yake, likianza siku ya alhamisi katika usiku wa pwani tarehe 12.07.2012 ambapo kiingilio kitakua tsh. 3000/= 
 pamoja na zawadi kedekede. 

Ijumaa ni shughuli pevu ambapo mkali wa Hip hop ambaye amejizoelea umaarufu mkubwa hivi karibuni ROMA MKATOLIKI atapagawisha mashabiki wake katika ukumbi huo wa Villa kwa kiingilio cha tsh. 5000/= tu. 

Bendi ya Super Kamanyola kama kawa, itaendeleza mkito wake kuanzia siku za Jumatano hadi Jumapili.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...