World News

Tuesday, August 21, 2012

FUNGUA Lyrics - Makavulive ft. JoslinINTRO;Dullayo
Makavulive!
Bongo Recordz
Majani, Ahaha
G Noumer!


Chorus; Dullayo
Fungua macho Mwandani, fungua
We ndio wangu wa Ubani, fungua
Bila we sina thamani, fungua
Emu nitazame mimi, fungua
Fungua mama, fungua
Fungua mama, funguaaaaa
Fungua fungua, wangu wa ubani


Verse I; MON G
Ninakuita kipenzi mwandani wa ndani eeh
We mamaaaa la... lalalaaala
Ufungueeeee, Moyo wako
Unichukueeee, kwenye nafsi yako
Kwako niwe kitabu kizuri, unisomeee alala lalala
Neno lako dawa nifanye niponeeee
Unipe furaha sio machozi hata toneee
Mimi nakufaaa mbele tusongee
 

Verse II; JOSLIN
Nahitaji nahitaji, kwenye maisha yangu.. mpenziii
Na ntahakikisha kila nnapokuona, nguo nzuri utavaa.. we ndo wangu malaika
Nakuita njoo, kuya tuishi pamoja... uwe pamoja mi na wee
Natanga tanga na njia naenda mbio, umeondoka nateseka mi mwenzio
Rudisha moyo nyuma, kama ndoto nakupenda mi mwenzio.. mama weeeeee


Verse III; DULLAYO
Usiskize ya watu, wengine watu na viatu
Hawapendi watuone mama, mimi nipo na wewe mama eeh
Mimi nakupenda tu, naomba usiniweke roho juu
Zamani nishatendwa mimi, lakini napenda sikomi
Unaniweka roho juu, unapochat na watuuu
Ndio mana nabaki uuuu no siseee
Unaniweka roho juu, unapochat na watuuu
Ndio mana nabaki uuuu mambo mengine sisemi
Naliaaaaa wakati mwingine naliaaaa nalia nalia aahah,
Nalia wakati mwingine nalia mambo mengine sisemi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...