World News

Thursday, December 20, 2012

“KACHALA V” AACHIA JIWE JIPYA…!“KACHALA V” NDILO JINA LA KISANII LA MWANAMUZIKI CHIPUKIZI  WA MUZIKI WA BONGOFLEVA  AMBAYE SHUGHULI ZAKE ZA MUZIKI  ZIPO MBEZI BEACH MASOKO……..HIVI PUNDE TU AMEACHIA SINGLE YAKO MATATA INAYOKWENDA KWA JINA LA WANACHAFUA AKIMSHIRIKISHA SURESH KWENYE KIITIKIO. HII KAZI IMEFANYIKA PALE POTEZA  RECORD PRODUCER AKIWA MTU MZIMA SURESH. “KACHALA V” BADO YUPO CHIMBO AKIPIKA MAWE MENGINE. WEWE SHABIKI WAKE KAA MKAO WA KUPOKEA NYIMBO ZAKE ZINGINE MPYA.

WASIFU WA KACHALA V
JINA                                      KACHALA V
JINA LA WIMBO        :           WANACHAFUA
STUDIO                       :           POTEZA RECORD
PRODUCER               :           SURESH
MAWASILIANO YA MSANII                       07452 886054

BY   OWEN.


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...