World News

Thursday, December 20, 2012

PASAKA YA KALA IMEINGIA SOKONI LEO


uLE MUDA ULOKUWA UKISUBIRIWA KWA HAMU SI NDO LEO TAREHE 20 ALBUM IMEINGIA SOKONI INAITWA PASAKA NA JINA HILI LINATOKANA NA JINA LA WIMBO MAHIRI ULIOKO NDANI YA ALBUM HII YENYE JUMLA YA NYIMBO 23 na itakuwa inauzwa tsh 5000. ALBUM HII ITAPATIKANA SEHEM ZIFUATAZO KWA JIJI LA DAR ITAPATIKANA MLIMAN CITY KWENYE DUKA LA UREMBO LIITWALO SHEAR ILLUSION,KARIAKOO MTAA WA KONGO DUKA LA NGUO LA WHITE SHEDY LINALOTAZAMANA NA STENDI YA DALADALA ZA MWANANYAMALA,KINONDONI STUDIO KWENYE DUKA LA NGUO LA ROBY ONE FASION,TUTAONGEZA SEHEMU NYINGINE BAADAE,

WATU WANGU WA MWANZA ALBUM ITAKUWA INAPATIKANA PALE MAENEO YA DELUX KWENYE DUKA LA BOOM EXPLOSION LINALOUZA CD LAKINI PIA KAMPUNI YA GRANTON MARKETING INAYOFANYA PROMOTION MTAANI ITAKUWA INAUZA ALBUM HII MTAANI HADI NYUMBANI MLANGO KWA MLANGO,KWA MWANZA TU. WATU WANGU WA MOSHI ALBUM YANGU ITAKUWA INAUZWA PALE RAFIKI MIN SUPERMARKET ILIYOPO DOUBLE ROAD PAMOJA NA DUKA LA NGUO LINALOJULIKANA KWA JINA LA MO DRESSERS LILILOKO MTAA WA KIUSA..

WATU WANGU WA TANGA ALBUM MTAIPATA PALE KWENYE DUKA LA NGUO LA MATHEMATIX CLASSIC WEAR TANGA CENTRAR FOUR WAYS SREET. IRINGA MPOOO? ALBUM YA KALA JEREMIAH ITAPATIKANA TWISTAZ CLUB,MTWARA ALBUM YANGU ITAPATIKANA POPOTE ULIPO KWA KUPIGA NAMBA HII 0713698585 ANAITWA DJ ASKOF UKIPIGA NAMBA HII TAFADHALI UPIGE KWA LENGO HUSIKA ASANTE MTU WA MTWARA.WATU WANGU WA MBEYA ALBUM ITAPATIKANA DUKA LA SIMU LIITWALO RAFIKI LILILOPO MWANJERWA KABWE, WATU WANGU WA ARUSHA ALBUM ITAPATIKANA NONDO COMMUNICATION STANDI KUU YA MABASI.

 KWA WALE WA MIKOA MINGINE TUTAWAJULISHA TARATIBU KADRI MUNGU ATAKAVYOTUJALIA LAKINI PIA UKIHITAJI ALBUM HII KOKOTE KULE ULIKO PIGA NAMBA HII 0756799877 NAMBA HII PIA ITATUMIKA KWA MTEJA ANAEHITAJI MANUNUZI YA JUMLA. NAMBA HII PIA ITATUMIKA KWA TAARIFA ZOZOTE KUHUSU ALBUM YANGU TU NA SI VINGINEVYO. PIA KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU ALBUM HII PIGA NAMBA HIZOHIZO NA UTAONGEA NA MIMI MWENYEWE MOJA KWA MOJA . ila watu wa mkoa mtaanza kuipata kesho sehem nilizozitaja.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...