Monday, January 21, 2013

New Sound: NILIPOKUONA - OBI

Mambo vipi wadau,
Naomba sapoti yenu kwa ngoma mpya ya mwenzangu Obi Elinami.
Track inaitwa Nilipokuona,ni Swahili RnB, imetengenezwa Kenaib Production jijini DSM chini ya Obi Elinami mwenyewe.
Pamoja sana watu wote wa media.
Asante
//JanB
Download it on Makavulive Playlist

No comments:

Post a Comment