World News

Thursday, January 10, 2013

Utengenezaji wa Video ya wimbo MAPENZI TARATIBU wa msanii chipukizi TATU akimshirikisha MAD P

TATU ktk pozi
 
Kushoto ni Meneja wa kampuni ya SG Entertainment inayojihusisha na utengenezaji wa Music Videoz akitaniana na msaidizi wake CHESCO Maelekezo kutoka kwa msanii mwenzake yalihusika sana


 Meneja na mmoja wa maDirector wakitafakali jambo
 


Mad P tHE Don ktk Pozi tayari akisubiri uchukuaji wa picha kuanza

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...