World News

Saturday, January 12, 2013

DULLAYO Kuachia KA BONGO MOVIE wiki ijayo

Dullaaaayo DTiming aka NINJA yupo ktk Studio za FishCrab chini ya usimamizi wa Producer LAMAR sambamba na meneja wake Robby wakikamilisha maandalizi ya kibao chake kipya kinachokwenda kwa jina la KA BONGO MOVIE.

Wiki lijalo itakuwa ni wakati muafaka wa kuachia ngoma hiyo ikiwa ni baada ya kutoka kuachia ngoma nyingine kali ambayo inaendelea kutamba ktk vituo mbalimbali vya burudan ya HAWALALI ambayo aliifanyia ktk Studio za Emotion Records chini ya Prodyuza KISAKA aka Sikio La TEMBO

1 comment:

  1. Nasubir niickie kama Lamar kafanya k2 maana kwa miaka ya karibun jamaa hajafanya hit na hadi kupelekea wa2 mitaana kusema jamaa kaishiwa midundo

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...