World News

Thursday, February 21, 2013

MON G na zawadi ya Sweet Reggae!

Mon G
Ally Ramadhan aka MON G ameifanya ktk mahadhi ya Sweet Reggae (Reggae Version) nyimbo yake ya 'UKO WAPI' aliyomshirikisha DULLAYO, ambapo awali ilikuwa ktk style ya RnB. Ameitoa hii ikiwa ni kama zawadi kwa mashabiki na wapenzi wa muziki. Unaweza kuiskiza na ku-download free hapa chini


 Kwasasa msanii huyu anaendelea kufanya vizuri ktk vituo mbalimbali vya redio baada ya kuachia wimbo wake mpya unaoitwa 'NA WEWE', pia yuko mbioni kuisambaza video ya wimbo huo ambayo tayari ilishakamilika


Enjoy.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...