World News

Monday, February 25, 2013

New Sound; GOMA LA KITAA - SALU B
SALU B, msanii anayekuja kwa kasi Bongo kiasi cha kuirudisha ile Style ya Ragga na Bongofleva ameachia nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la "GOMA LA KITAA", likiwa limefanywa na Prodyuza KISAKA aka Sikio la Tembo.
 Kabla ya Goma hilo SALU-B alitoka na ngoma mbili "Kasimama Pekeake" pamoja na "Jipange" ambazo alifanya akishirikiana na MON-G ktk Studio ya Emotion chini ya Kisaka.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...