World News

Tuesday, March 12, 2013

Baada ya 'Rum & Raybans" kufanya vibaya SEAN KINGSTON aachia ngoma mpya.. "BEAT IT" ft. Wiz Khalifa & Chris Brown

Kwa muda mrefu Sean Kingston amekuwa akifight kutengeneza album yake ya "Back 2 Life". Baada ya single yake ya ‘Rum & Raybans’ akimshirikisha Cher Lloyd aliyoiachia mwishoni mwa mwaka jana kubuma, hii leo ameachia track mpya inayoitwa ‘Beat It’ akiwashirikisha Chris Brown na Wiz Khalifa.

Em tuone mnyamwezi na hii haitaBuMaaaaaa!!!!?


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...