World News

Tuesday, March 12, 2013

SSEN LUBI AACHIA WIMBO MPYA

SSEN LUBI

KUTOKA  SAUTI ZA AFRIKA, MMOJAWAPO WA MSANII WA KUNDI HILO  AMBAYE SASAHIVI ANAKUJA JUU KWENYE ANGA ZA MUZIKI WA BONGO FLEVA AKIWA CHINI YA SEDUCTIVE RECORD AMEACHIA  MZIGO WAKE MPYA ………..BAADA YA KUFANYA VIZURI KWA WIMBO WAKE NA VIDEO YAKE YA FUNGU LA KUKOSA  MSANII SSEN LUBI AMEACHIA SINGLE YAKE MPYA INAYOKWENDA KWA JINA  LA “USIUDANGANYE MOYO WAKO”………CHINI YA MTU MZIMA PRODUCER MR. T . TOUCH  AMBAYE NDIYE MPISHI WA WIMBO KUANZIA VOKO MPAKA BEAT. SSEN AMBAYE KWA SASA YUKO JUU KWENYE ANGA ZA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA TAYARI YUPO CHIMBO AKITAYARISHA VIDEO YA WIMBO HUU……..AMBAPO MUDA WOWOTE  KUANZIA SASA.

WASIFU WA SSEN
JINA LA MSANII                               :           SSEN LUBI
JINA LA WIMBO                               :           USIUDANGANYE MOYO WAKO
STUDIO                                                :           SEDUCTIVE RECORD
PRODUCER                                        :           MR.  T.  TOUCH
MAWASILIANO YA MSANII          :           0719 208090
EMAIL & FACEBOOK                               :           hussendrlubi@yahoo.com      facebook :    ssen lubi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...