Monday, April 22, 2013

JamboSquad Video making, TUKUNYEMA!



Picha kadhaa za kundi la JamboSquad aka Mamong'oo wakishoot VideoShoot ya wimbo wa "Tukunyema" na kampuni ya HPVMG Maeneo ya Ungalimited Arusha, kucheki Picha zote katika Facebook Bofya HAPA ukiendelea kusibiri mzigo kamili wiki ijayo.Kwa hisani ya vmgafrica.com

No comments:

Post a Comment