World News

Monday, April 22, 2013

New Sound; NIKIMWELEZA - SALU B

 
  Vesre 1.
Mara ya kwanza nilipokuona moyo ulistuka,nikajikuta naropoka maneno yananitoka ah aa!, mara ya kwanza nilipokuona moyo ulistuuka, e nikajikuta naropoka maneno yananitokaa macho yangu yamemuona wewe, hisia zangu ni wewe, akili yangu inakuwaza wewe wee e we!.. 
brige:
nachotaka awe wangu wangu, wangu peke yangu, mama wa wanangu \2
choras:
nikimweleza sijui kama atakubali..hata kubali..
Nikimweleza sijui kama hatakubali ..hata kubali \2 
vesre 2:
Najaribu kumuimbia huu wimbo.. huyu mrembo
labda atausikia huyu mrembo \2
nitashukuru akiusikia jibu zuri akinipatia.. ntashukuru akiusikia.\2
Brige:
Nachotaka awe wangu, wangu peke yangu... mama wa wanangu \2

chorus:
nikimweza sijui kama hata kubali.. hata kubali
nikimweleza sijui kama hata kubali.. hata kubali

Autro:
ananichanganya changanya changanya changanya e.. vuluga vuluga vuluga vuluga oh o! kwa uzuri wake \2
Ananichanganya ooh! ananivuruga ananikwa uzuri wake

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...