Monday, April 8, 2013

'NGOJA KIDOGO' yawapeleka LUPANGO wasanii Chipukizi

Wasanii Chipukizi wanaokuja vizuri ktk game ya Bongofleva SALMA  na SIR. DATTY walishtukia wakiingizwa Lupango ktk Kituo kidogo cha Polisi Mabatini huko pande za K/Nyama juzi jioni baada ya msala wa kizushi huku wakijiandaa kushoot video ya nyimbo yao mpya inayoitwa 'Ngoja Kidogo'

Inasemekana dancers wadogo waliotaka kuwatumia kabla ya kuwanao walipotea nyumbani kwao kwa muda wa siku kadhaa, hivyo walivyokuja kuibukia kwao msala ndio ukawadondokea......... Kwa taarifa fupi zilizoifikia Makavu Blog Wasanii hao tayari wameachiwa baada ya kulala siku moja ndani ya Lupango

No comments:

Post a Comment