World News

Saturday, May 4, 2013

New Sound; JUAKALI - Keneh!

Msanii wa Reggae/Afropop Keneh, mkazi wa Arusha aja na Juakali,Ngoma ya mahadhi ya Sweet Reggae inayozungumzia Ungumu wa maisha ya ujana na umuhimu wa kuzingatia ushauri wa waliotuzidi umri na upeo,Ni ngoma yenye verse mbili na breakdown zikiambatana na chorus tamu ikiwa ni kazi ya defxtro toka Noizmekah Studios Arusha.Pata kuusikiliza HAPA and keep supporting african music..Powered by www.vmgafrica.com
------------------
http://www.hulkshare.com/xigr87mpby0w

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...