World News

Thursday, June 27, 2013

Baada ya kupungua uzito kwa kilo 49, BAGDAD awakutanisha 'Ney wa Mitego' na 'Chiddy Benz' ktk "Wambieni Nipo"

Mkali mwingine wa Freestyle na kiongozi wa 'WaziWanda' BAGDAD juzi kati alituhabari jinsi alivyopungua uzito wa mwili wake toka kuwa na kilo 149 hadi sasa ana kilo 100 kamili...... now in a gud look!

UZITO
1/03/2013 uzito wa Baghdad ulikuwa 149 kg
1/06/2013 uzito wake ulikuwa 100 kg.
KIUNO/MAVAZI
1/03/2013 alikuwa anavaa suruali yenye ukubwa wa kiuno 50, shirt ama t shirt alikuwa anavaa xxxl
1/06/2013 suruali yake kwa sasa anavaa 40 na shirt ni x xl
AFYA /SUKARI
1/03/2013 vipimo vilionyesha sukari yake ni 28.9
1/06/2013 vipimo vinaonyesha ya kuwa sukari yake ni9 6.9

Bagdad anatarajia kudondosha kazi yake mpya inayojulikana kama WAAMBIENI NIPO, huku akiwa amewashirikisha Wakali wawili wa HipHop Bongo NEY Wa Mitego na CHIDY Benzi ambao sijawahi kuwaskia ktk track moja.... ila mi binafsi sikutegemea kama Ntawaskia ktk track moja!
It gonna be da Bomb

Track ; Waambie nipo
Producer ; Young keez
Studio ; St rec & Hometown
Artist ; Baghdad ft Ney & Chidi Benz

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...