World News

Thursday, June 27, 2013

'The Legend is Back' NonStop Cd kutolewa bure @Isumba Lounge this Friday

"Sasa tunaamini unafahamu kuwa Night of the Legends aka usiku wa malegendari isumba lounge zamani jollies club ndiyo gumzo mjini. Sasa basi the magic continues, this friday kama kawaida melegendari tunakutana tunapata oldies, old scul kali, raga, soca rumba, chacha na nyingine nyingi. J'mosi hii kama kawaida moto unaendelea, ma gentleman 50 wataofika kabla ya saa 6 usiku watapata vol mpya kabisa The Legend is Back Nonstop cd, wadada 50 kupata a very cold glass of wine mlangoni. Entry 10k, doors open 9pm. Karibu"

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...