Friday, June 21, 2013

New Mc; HAYA MAISHA - ChopaBoy

ChopaBoy aka William Munishi ni msanii chipukizi wa rap katika game akiwa anatokea arusha na hapa ameflow juu ya mdundo wa marekani akimshirikisha mwanadaad MayChedda katika chorus ya wimbo HAYA MAISHA pata kuusikiliza HAPA na endelea kusupport muziki wa Tanzania

No comments:

Post a Comment