Friday, June 21, 2013

TUNAKUJAZA UPEPO - K DOO ft. Chaba

Huyu ni kijana mpya kabisa toka pande za Watengwa ndani ya Arusha, hii ni debute single yake ikiwa kama utambulisho rasmi wa kijana K Doo hapa akiwa ameshirikiana na baba mkubwa Chaba ambaye kwa namna moja ama nyingine amejitolea kwenda bega kwa bega na KDoo katika safari yake ya muziki,ngoma inaitwa Tunakujaza Upepo/Usibonge mkono wa John Blass(John B) toka pande za Grandmaster Records Listen/Download link: www.hulkshare.com/dl/6436yvy7t3sw

No comments:

Post a Comment