World News

Monday, June 17, 2013

New Sound; UNAJUA - FimRebol ft. WiseMan

Pata kumsikiliza msanii FimRebol toka Kundi la Rebolz wenye maskani yao RiverCamp Arusha katika Hiphop joint brand new kabisa la UNAJUA alomshirikisha mkali toka Studio ya GoodNation kwa Producer Masebo juu ya beat kali ya Producer Nahreal wa hometown Records ngoma ikiwa inakwenda kwa ina UNAJUA.Download HAPA na endelea kussuport muziki wa Tanzania kwa mawasiliano zaidi na FimRebol chek nae kwa +255 762 050 100 au +255 687 428 840 powered by www.vmgafrica.com
------------------------------
http://www.hulkshare.com/jxt2zcllquio

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...