World News

Monday, June 17, 2013

Jaiye Jaiye Snippet ya ChiefMUSAFA

ChiefMufasa msanii anayewakilisha vema Tanzania kule nchini Kenya,na hapa ni katika kipande kidogo cha Bonus track yake aloipa jina "JaiyeJaiye" ambayo ni Afropop itakayokuwa katika mixtape ya Fresh 2 Twenty,itakayodrop mtaani mwezi huu mwishoni,Mixtape itakuwa na ngoma 12 za muundo wa HipHop, Crunk, Afropop na fusion zingine nyingi tofauti zikiwa zimerekodiwa Noizmekah Production Stiudios kwa Defxtro, sikiliza Jaiye Jaiye Snippet HAPA na endelea kussuport muziki wa Tanzania,Kwa mawasiliano zaidi check na ChiefMufasa kupitia +255 757 564 839 au +254 714 564 839
---------------------------
http://www.hulkshare.com/r4ldfooai1hc

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...