World News

Monday, June 17, 2013

Rudmixx, Defxtro Studio Mix - "Nakupenda pia" (Wyre & Alaine)

Ikiwa ni mwaka mzima wa ukimya kwa Studio mix zinazojulikana kama "Rudmixx" zilizo tamba sana katika kumbi za starehe na digital player zetu, Pata kuenjoy weekend yako kiparty zaidi na Mix hii mpya toka kwa Defxtro ikiwa imetumika nyimbo ya "NAKUPENDA PIA" ya Mkali wa Dancehall Wyre na Alaine huku zikiskika ladha za ki-Deejay toka kwa BeeMan, JohMakini, Manbatoo na YungOmega, Hii ni kwa Enjoyment pekee na sio Biashara, All original rights remain with the respective artists representing this Musical Work of the Deejayin Art,Download HAPA and Enjoy
-------------------------------
http://www.hulkshare.com/dopk39dapmv4

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...