World News

Monday, July 22, 2013

MUDDY KILOSA AACHIA TRACK YAKE MPYA


YULE MSANII AMBAYE  AMEHAMISHIA SHUGHULI ZAKE ZA MUZIKI HAPA DAR TOKA PANDE ZA MOROGORO MUDDY KILOSA  HATIMAYE HIVI PUNDE TU CHINI YA MENEJA WAKE   MR. LUGANO AMEACHIA TRACK YAKE MPYA IMAYOKWENDA KWA JINA LA  KOSA   LANGU,

 TRACK HII AMBAYO TAYARI IMEANZA KUCHEZWA KWENYE VITUO MBALIMBALI VYA REDIO IMEKUWA NGUMZO KWA MASHABIKI WAKE KWANI MPANGILIO NA UIMBAJI UMEFANYIKA KWA USTADI MKUBWA SANA.
 KAZI NZIMA IMEFANYIKA PALE  SUDUCTIVE RECORD CHINI YA MTU MZIMA MR. T TOUCH AMBAYE HAKIKA  AMEUTENDEA HAKI WIMBO HUO .

JINA                           :           MUDDY KILOSA
JINA LA WIMBO      :           KOSA LANGU
PRODUCER              :           MR. T  TOUCH
STUDIO                      :           SUDUCTIVE RECORD
CONTACT                 :           0714 315680 – MUDDY KILOSA

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...