World News

Thursday, July 18, 2013

New Audio; BiGnAtIoN - "MASSAWE"

Kutoka Ilboru Arusha anarejea G FayaFaya akiwa na ElevenDJ katika pini jipya kabisa style ya kwaito dance,dude toka pande za noizmekah Production Studios chini ya Producer Defxtro, nyimbo inaitwa "Massawe" pata kuusikiliza na kudownload HAPA na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na BIGNATION kupitia nambari +255 756 730 356 na endelea kusupport muziki wa Tanzania,powered by www.vmgafrica.com
-----------------------
http://www.hulkshare.com/dl/dvohmxlneku8/BigNation-Massawe_%28NOIZ%29.mp3?d=1

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...