World News

Wednesday, July 17, 2013

MwanaFA & AY watoa mchongo kwa mashabiki wao kuuza ktk Video ya "Bila kukunja goti"


Umeshajaribu kucheza bila kukunja goti? Kama bado basi supermodels Flaviana Matata na Angelique Ajak Deng wa Sudan wameamua kujaribu kucheza na kujirekodi kwenye video hii.Wakati huo huo Mwana FA na AY wanakupa nafasi ya kipekee wewe shabiki utakayeweza kutuma video ukicheza bila kukunja goti na kisha wale watakaovutia zaidi watakula shavu la kuonekana kwenye video ya wimbo wao ‘Bila Kukunja Goti’ waliomshirikisha JMartins wa Nigeria.

Unaweza kutuma video fupi uliyojirekodi ukicheza bila kukunja goti kwenda kwenye email hii: bilakukunjagoti@gmail.com. Changamkia fursa hii.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...